TrustTax Verify

STBGE Β· Receipt Transparency Demo
TRA Innovation 2026 Β· Live Demonstration

Thibitisha Risiti. Pata Zawadi.
Jenga Uwazi wa Kodi.

TrustTax Verify ni demo ya jinsi wananchi wanavyoweza kushiriki moja kwa moja katika kuthibitisha risiti za EFD, kupata motisha, na kuwasaidia wafanyabiashara waaminifu kupanda daraja la TrustTax. Mfumo huu unaongeza uaminifu, uwazi na ulipaji wa hiari bila kufanya kodi ionekane kama adhabu.

TrustTax Verify Β· Citizen App

Scan QR ya Biashara

Thibitisha risiti, linda mapato ya taifa
LIVE
β–¦
+5points
79Trust Score
πŸ₯‡ GOLD
Reward Ready
Citizen value: Mnunuaji anapata pointi. Biashara inaongeza uaminifu. TRA inapata signal ya uwazi.
201Verified taxpayer voices
25Citizen suggestions
55%Positive sentiment
24/7Public participation
THE PROBLEM

Risiti zipo, lakini ushiriki wa wananchi bado ni mdogo.

Mfumo huu haujaribu kuibadilisha TRA; unaongeza tabaka la ushiriki wa wananchi, motisha, na akili ya kudhibiti mianya ya risiti bandia au kutotoa risiti.

🧾
Risiti zisizothibitishwa

Wananchi wengi hupokea risiti bila kujua kama risiti hiyo imeripotiwa kikamilifu.

🎁
Hakuna motisha ya kutosha

Mteja akiomba risiti anaonekana kama anasumbua; mfumo unaigeuza kuwa mchezo wenye zawadi.

πŸ“Š
Data ya mwenendo ni dhaifu

TRA inahitaji kuona maeneo, sekta na biashara zenye patterns za hatari mapema.

LIVE DEMO

Mtiririko kamili wa uthibitisho wa risiti.

Demo hii inaonyesha safari ya mnunuaji kutoka kuscan QR ya biashara hadi kuthibitisha EFD reference na kupata reward. Tumia ref inayuanza na RCT kwa risiti halali au andika chochote kingine kuona tahadhari.

πŸ“±

Citizen Verification App

Scan QR Β· enter amount Β· verify EFD reference
πŸ“·

Bonyeza kuscan QR ya biashara

Au ingiza TIN ya mfanyabiashara moja kwa moja kwa demo.

βœ… Biashara imepatikana
JinaMAMA NTILIE RESTAURANT
TIN123-456-789
EneoKariakoo, Dar es Salaam
TrustTaxπŸ₯‡ Gold
🧾

Receipt & Result Preview

What the judge sees during demonstration
MAMA NTILIE RESTAURANT
TIN: 123-456-789 Β· VRN: 40-005544-X
Kariakoo, Dar es Salaam
Wali Maharage x27,000
Chai ya Maziwa x22,000
Chapati x42,000
JUMLATZS 11,000
VAT 18%TZS 1,678
RCT-2026-088412 Β· TrustTax Verify
VALUE PROPOSITION

Kila upande anashinda.

Winning demo lazima ionyeshe thamani kwa TRA, mwananchi na mfanyabiashara β€” si technology tu.

πŸ›οΈ
TRA

Inapata signal za mapema kuhusu risiti, maeneo yenye hatari, na compliance patterns kwa kiwango kikubwa.

πŸ‘€
Mwananchi

Anahamasishwa kudai risiti kwa pointi, droo, airtime na utambuzi wa mchango wake.

πŸͺ
Mfanyabiashara

Uaminifu wake unaonekana; anaweza kupata TrustBadge, kipaumbele cha huduma na connection ya mikopo.

MERCHANT DASHBOARD

Mfanyabiashara anaona ukuaji wa uaminifu wake.

Hii ndiyo sehemu inayofanya mfumo usiwe wa adhabu pekee. Inageuza compliance kuwa reputational asset.

Mama Ntilie Restaurant

TIN: 123-456-789 Β· Kariakoo DSM

πŸ₯‡ GOLD MEMBER
Compliance Score
79

Gold Β· pointi 11 hadi Platinum

Customer Verifications
343

↑ 48 this month

Loan Readiness
βœ“

Eligible signal

Top Citizen Verifiers
Monthly rewards build citizen participation
1
πŸ‘‘
Fatma M. ****Kinondoni, DSM
847pts
2
πŸ₯ˆ
John K. ****Ilala, DSM
623pts
3
πŸ₯‰
Grace A. ****Arusha
589pts
4
🌟
Hassan R. ****Mwanza
412pts
INTELLIGENCE LAYER

Sio verification tu β€” ni mfumo wa intelligence.

Kila scan inaweza kusaidia TRA kuona patterns: risiti bandia, maeneo yenye risk, sekta zenye gaps, na biashara zinazoonesha uaminifu wa juu.

πŸ“±

Scan

Citizen verifies receipt

🧾

Validate

EFD ref checked

🎁

Reward

Citizen gets points

πŸͺ

Score

Merchant reputation grows

πŸ“Š

Insight

TRA sees risk patterns

Risk Heatmap β€” Demo
Mfano wa maeneo yenye signal ya risiti zisizotambulika
Kariakoo
82%
Manzese
58%
Sinza
41%
Mwenge
22%
Verification Mix
Demo snapshot of citizen verification outcomes

The winning message

TrustTax Verify haileti mfumo mwingine wa malalamiko. Inaleta tabaka la ushiriki wa wananchi linalogeuza risiti kuwa ushahidi, uaminifu kuwa asset, na compliance kuwa sehemu ya ukuaji wa biashara.

1Citizen participation
2Receipt transparency
3Merchant reputation
4TRA intelligence
WhatsApp Β· Wasiliana